GET /api/v0.1/hansard/entries/661514/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 661514,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/661514/?format=api",
"text_counter": 403,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. S.A. Ali",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 2100,
"legal_name": "Shariff Athman Ali",
"slug": "shariff-athman-ali"
},
"content": "Kama nilivyosema, tunahitaji maendeleo na uchumi uinuke katika nchi hii lakini ninaona Hoja hii ina maswala mengi ambayo tunahitaji kufahamu kupitia kwa Serikali ama kupitia wahusika. Hatuoni haja kama viongozi kupitisha pesa hizi halafu ziwe mzigo kwa wananchi ama kupitisha pesa hizi ilhali kuna sehemu zingine kama nilivyosema kama Lamu zinazohitaji pesa hizi ili miradi ambayo imekwama kama hii iendelee."
}