GET /api/v0.1/hansard/entries/661515/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 661515,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/661515/?format=api",
"text_counter": 404,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. S.A. Ali",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 2100,
"legal_name": "Shariff Athman Ali",
"slug": "shariff-athman-ali"
},
"content": "Kwa hivyo, ningeomba Serikali ihakikishe kwamba tumefanya mambo ambayo yatawaridhisha wananchi na kuinua nchi hii ili tuweze kuimarisha chumi wetu. Tusifanye haya kwa sababu ya ubinafsi wa watu ama maslahi ya watu fulani katika nchi hii."
}