GET /api/v0.1/hansard/entries/661990/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 661990,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/661990/?format=api",
"text_counter": 21,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Ms.) Gathogo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 2715,
"legal_name": "Esther Nyambura Gathogo",
"slug": "esther-nyambura-gathogo"
},
"content": "Asante, Mheshimiwa Spika kwa kunipa nafasi hii. Ninataka kupinga Ombi hili kwa sababu Mheshimiwa mwenzangu amesema kwamba Waziri hamjui Mungu. Ninajua kuwa yeye ni kiongozi katika Kanisa la Seventh Day Adventist (SDA). Kwa hivyo, tukiongea kuhusu mambo ya maombi ninajua kuwa anayafahamu. Ni vizuri sana kuelewa kwanza ni kwa nini tulipinga suala la maombi. Tulimwambia Waziri aangalie ni njia gani The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}