GET /api/v0.1/hansard/entries/661991/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 661991,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/661991/?format=api",
    "text_counter": 22,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Gathogo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 2715,
        "legal_name": "Esther Nyambura Gathogo",
        "slug": "esther-nyambura-gathogo"
    },
    "content": "mtihani huu hautaibwa. Waziri akija na njia ambayo ameona inafaa, si vizuri kusema kwamba amekosea. Sisi kama Wabunge tunapaswa tuungane mkono pamoja na Waziri, na tumsaidie kutafuta njia ambayo mtihani utafanywa bila kuibiwa. Lakini ninajua kwamba Waziri anajua mambo ya maombi kwa hivyo, si maombi anayopinga ila anajaribu kutafuta njia ambayo mtihani hautaibiwa."
}