GET /api/v0.1/hansard/entries/662012/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 662012,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/662012/?format=api",
    "text_counter": 43,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Kipyegon",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 1453,
        "legal_name": "Johana Ngeno Kipyegon",
        "slug": "johana-ngeno-kipyegon"
    },
    "content": "Ninashukuru Mhe. Spika. Ningependa kusema kwamba hii shida si ya Samburu pekee kwa sababu inahusu wananchi wote wa Kenya. Kila sehemu ya Kenya huwa na shida kama hii. Serikali au watumishsi wake wakati mwingine huchukua ardhi ambayo ingetumiwa na wananchi. Wananchi wanaendelea kuumia ilhali Serikali haitumii hiyo ardhi. Tungependa kusema kwamba tunaunga mkono hilo Ombi la Mhe. Lelelit. Tunataka Serikali iamue mara moja ili wananchi wasiendelee kuumia wakati Serikali au jeshi haitumii hiyo ardhi saa hii. Pia, ninasihi Tume ya Kitaifa ya Ardhi---"
}