GET /api/v0.1/hansard/entries/662014/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 662014,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/662014/?format=api",
    "text_counter": 45,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Kipyegon",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 1453,
        "legal_name": "Johana Ngeno Kipyegon",
        "slug": "johana-ngeno-kipyegon"
    },
    "content": "Mhe. Spika, wajua Kiswahili kilikuja na meli na barabara hadi kwetu. Tungependa Tume hiyo ihakikishe kuwa ile shida ya ardhi katika kila sehemu ya nchi hii imeangaliwa. Ni vyema kama kuna sehemu ambayo hatimiliki zake hazijapeanwa, zipeanwe. Kama kuna mahali hakujagawanywa, kugawe. Kupitia “petishoni” ya Mhe. Lelelit, ningependa kuseme kwamba ninaunga mkono. Asante, Mhe. Spika."
}