GET /api/v0.1/hansard/entries/663092/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 663092,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/663092/?format=api",
    "text_counter": 73,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen.Boy Juma Boy",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 758,
        "legal_name": "Boy Juma Boy",
        "slug": "boy-juma-boy"
    },
    "content": "Bw. Spika, asante kwa kunipa nafasi ya kuunga mkono malalamishi haya. Bw. Spika, kuna kulalamika na kunung’unika. Kunungu’nika ni ile hali ya kupigo domo tu bila kuchukua hatua yoyote. Wakenya wengi tunapenda kununung’unika. Tunayotaka sisi ni kulalamika na kuhakikisha maneno yamewekwa katika maandishi kusudi jambo lile liweze kufuatiliwa. Haya malalamishi ndiyo tunataka kuliko kunung’unika. Bw. Spika, naunga mkono watu wa Bungoma kwa jambo walilotenda na ninahimiza jambo hili lifanyiwe kazi kwa haraka."
}