GET /api/v0.1/hansard/entries/664301/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 664301,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/664301/?format=api",
"text_counter": 90,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Ms.) Wanyama",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 1076,
"legal_name": "Janet Nangabo Wanyama",
"slug": "janet-nangabo-wanyama"
},
"content": "Ni sharti Serikali ijikakamue kutoa ushuru kwa wale wanaosafirisha miwa na wale wanaopanda ili wapate haki yao kwa sababu maisha yao na ya watoto wao inategemea faida kutoka kwa miwa. Natumai Wabunge wataunga mkono Mswada huu ili wakulima wa miwa wapate haki yao. Ahsante Mhe. Naibu Spika wa Muda."
}