GET /api/v0.1/hansard/entries/665773/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 665773,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/665773/?format=api",
"text_counter": 295,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Bw. Spika wa Muda, mimi pia niliweza kufika katika kituo cha polisi cha Pangani leo asubuhi. Nilienda pale kama wakili wa wale walioshikwa. Nilikuwa nimeambatana na Sen. Musila. Tulitaka kuzungumza na mkuu wa kituo hicho anayeitwa Bw. Benjamin Kisela. Baada ya kumwambia kuwa mimi ni wakili na vile vile Seneta na kwamba nilikuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Kenya katika Mahamaka ya Kazi, sijui ni kitu gani kilimfanya kuwa katika hali ya kutishika na kusema kwamba angetoa zana za vita ili apige watu risasi. Hicho ni kitendo ambacho kinarejesha Serikali na nchi hii nyuma ya miaka ambayo tulishapita na ni lazima tukikemee kwa hali ya juu sana. Leo ni Sen. Muthama na Mheshimiwa Junet Mohammed. Huenda kitendo kama hicho kikatokea upande ule The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate"
}