GET /api/v0.1/hansard/entries/667254/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 667254,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/667254/?format=api",
"text_counter": 707,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Ms.) Changorok",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 1149,
"legal_name": "Regina Nyeris Changorok",
"slug": "regina-nyeris-changorok"
},
"content": "eneo hilo na hivi sasa, tuna usalama baina ya Turkana na Pokot. Ninaamini tutapata barabara nyingi zaidi. Ningependa kuzungumzia juu ya wale ambao wanapewa kandarasi. Kazi nyingi zinarudiwa kwa sababu wale ambao wanapewa kandarasi hawafanyi kazi nzuri. Tunaporudia ile kazi tunatumia pesa za Serikali. Inafaa wale ambao wamepata kandarasi watengeneze hizo barabara kwa njia ambayo itafanya barabara zidumu kwa muda. Barabara nyingi hutengenezwa kiholela na mvua inaponyesha, zinaharibika na pesa za nchi zinatumika kuzirekebisha."
}