GET /api/v0.1/hansard/entries/667435/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 667435,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/667435/?format=api",
"text_counter": 135,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Ms.) Chidzuga",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 751,
"legal_name": "Zainab Kalekye Chidzuga",
"slug": "zainab-kalekye-chidzuga"
},
"content": "Shukrani, Mhe. Spika kwa kunipa nafasi hii kuchangia Mswada huu ambao umekuja wakati mzuri. Nasema hivyo kwa sababu utaweza kutufafanulia barabara ambazo zitasimamiwa na Serikali kuu na zile za serikali za kaunti. Hapo awali, kumekuwa na mvutano ambao umesababisha madhara. Kwa mfano, katika eneo langu la Kwale, barabara ni mbovu kabisa. Zaidi ya machungu ni pale ambapo Serikali kuu ilipoamua kutuwekea barabara lami, magavana walienda kortini kuzuia barabara hizo ziziwekwe lami."
}