GET /api/v0.1/hansard/entries/667441/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 667441,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/667441/?format=api",
    "text_counter": 141,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Chidzuga",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 751,
        "legal_name": "Zainab Kalekye Chidzuga",
        "slug": "zainab-kalekye-chidzuga"
    },
    "content": "zimetokana na barabara nyembamba na hawajatengewa sehemu zao za kupita. Magari yetu yana michoro kwa sababu zile pikipiki zikipita, zinakwangura gari na ukisema umshtaki, utakuwa unamwonea kwa sababu si makosa yake maana anahitaji kutumia barabara hiyo. Mswada huu utatusaidia. Natumai hakutakuwa na ufisadi katika mpangilio wa ujenzi wa hizo barabara. Ufisadi umetuharibia mipangilio mingi ambayo inasimamiwa na Serikali kuu kumwondolea mwananchi tatizo katika usafiri katika nyanja zote. Kwa hayo, naunga mkono Mswada huu."
}