GET /api/v0.1/hansard/entries/667992/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 667992,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/667992/?format=api",
    "text_counter": 203,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Wario",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 252,
        "legal_name": "Ali Wario",
        "slug": "ali-wario"
    },
    "content": "Kwetu kuna shule ya upili ya Mau Mau. Mashujaa 11 waliuawa pale. Kwa minajili ya kutambua juhudi yao, tumejenga shule ya upili pale angalau historia na damu yao isiende bila kutambulika. Wakati umewadia wa kuhifadhi kumbukumbu na kuweka makavazi haya ili watoto wetu wajue historia. Mchakato wa Uhuru wa Kenya ulianza Kamukunji. Uhuru wa pili ulianza Kamukunji. Kama nilivyosema, dhalimu yeyote akija, Kamukunji iko na tutapambana naye."
}