GET /api/v0.1/hansard/entries/667993/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 667993,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/667993/?format=api",
    "text_counter": 204,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Wario",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 252,
        "legal_name": "Ali Wario",
        "slug": "ali-wario"
    },
    "content": "Leo mimi ni muungaji mkono mkubwa wa Rais Uhuru Kenyatta. Tumetoka mbali. Tulipigwa na vitoa machozi kama vile majuzi watu walipigwa hapa. Wakati wetu, tulipigwa na tukavumilia tukitetea Kenyatta International Convention Centre (KICC). Mimi na Rais Uhuru Kenyatta tulipigwa na vitoa machozi lakini wengine leo wanaona ni ajabu watu wengine kupigwa na vitoa machozi. Hivi ni vitu ambavyo ni lazima tuvumilie wakati tuko kwa Upinzani. Kwa hivyo, nasimama nimpe kongole ndugu yangu, Mhe. Yusuf."
}