GET /api/v0.1/hansard/entries/669277/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 669277,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/669277/?format=api",
"text_counter": 36,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. (Dr.) Machage",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 179,
"legal_name": "Wilfred Gisuka Machage",
"slug": "wilfred-machage"
},
"content": "Mhe. Spika, nafurahia sana kuona wanafunzi, hasa vijana chipukizi, wengi wao wakiwa rika ya wajukuu wangu wakifika kwa Bunge hili ili kujionea yanayotendeka hapa. Watasoma mengi kuhusu shughuli za Bunge hii. Ninataka wajitayarishe siku za usoni kufika hapa kwa sababu wengi wetu tutakuwa tume yoyoma na kuondoka. Nakumbuka siku nilizoingia Bunge, wengi wenu hamkuwa mmezaliwa. Mungu awabariki."
}