GET /api/v0.1/hansard/entries/670129/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 670129,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/670129/?format=api",
"text_counter": 26,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Mwadeghu",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 98,
"legal_name": "Thomas Ludindi Mwadeghu",
"slug": "thomas-mwadeghu"
},
"content": "Wakati umefika Bunge liingilie kati lione kuwa ardhi ya wananchi imerudishwa na wanyama wasionekana kama ndio wanahitaji ardhi kuliko wananchi. Haya maombi yote yako jiani. Niko katika Kamati ya Ardhi na nimemsikia Mhe. Makali kuhusi bodi cha mashamba. Tulimuita Waziri ambaye anahusika na shughuli za mashamba na bodi, na alituhakikishia kuwa bodi zitarudishwa na Wabunge watahusishwa wakati watu wanapoteuliwa kwa hizo bodi. Namshukuru mwenzangu, Mhe. wa Igembe ya Kati kwa kuleta Ombi hili kwa niamba ya watu wake. Ombi langu la Wataita pia liko njiani. Limefika Bungeni na tunatarajia hivi karibuni pia nalo litasomwa."
}