GET /api/v0.1/hansard/entries/670304/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 670304,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/670304/?format=api",
"text_counter": 201,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Mtengo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13164,
"legal_name": "Willy Mtengo",
"slug": "willy-mtengo"
},
"content": "Naibu Spika wa Muda, nina wasiwasi sana. Kama nitakula samaki kutoka China, kesho hata unga wa sima ambao nitakula kule nyumbani pia utakuwa umetoka China. Hili ni jambo la kunishitua. Nilizaliwa eneo ambalo samaki ni wengi. Tumekuwa tukila samaki miaka yote. Mbona leo samaki wamepungua? Haya ni masuala ambayo tunataka tuyakadirie kwa kina na tuyatafakari. Lakini la msingi ni kusema kwamba moja kwa moja naunga Hoja hii na ninaisimamia."
}