GET /api/v0.1/hansard/entries/671160/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 671160,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/671160/?format=api",
"text_counter": 60,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. (Dr.) Machage",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 179,
"legal_name": "Wilfred Gisuka Machage",
"slug": "wilfred-machage"
},
"content": "Bw. Spika, hekaya za Abunwasi sio vile zimeandikwa tu katika kitabu cha Alfu Lela Ulela . Hekaya hizi zapatikana hata kwa wajibu uliopewa magavana na serikali za kaunti. Linalotendeka Isiolo ni jambo la ajabu kwa sababu bunge la kaunti ya Isiolo kujadili mambo haya na kupitisha uamuzi wao na kudharauliwa na serikali iliopo huko hadi haya mambo yakafika kwa Bunge hili, ni jambo ambalo tunastahili kuliangalia na kuanzisha labda sheria itakayowapa wabunge wa mashinani uhuru na nguvu za kutekeleza wajibu wao kwa jambo kama hili la dharura. Naunga mkono kilio hiki kilocholetwa kwa Bunge la Seneti na Sen. (Dr.) Khalwale."
}