GET /api/v0.1/hansard/entries/671684/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 671684,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/671684/?format=api",
    "text_counter": 194,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Mbuvi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 80,
        "legal_name": "Gideon Mbuvi",
        "slug": "gideon-mbuvi"
    },
    "content": "Hoja ya nidhamu, Bw. Spika. Namwona mwanakamati wa kamati hiyo yumo humu ndani. Nilitaka kuwaonya wanakamati hao dhidi ya kudharau vikao vya Seneti. Mwenyekiti na naibu wake walikuwa hapa na wameondoka. Statement ambayo Seneta wa Kaunti ya Machakos ameuliza ni ya maana sana. Kwa vile mwanakamati yumo, anaweza kujibu."
}