GET /api/v0.1/hansard/entries/671691/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 671691,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/671691/?format=api",
    "text_counter": 201,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Ethuro",
    "speaker_title": "The Speaker",
    "speaker": {
        "id": 158,
        "legal_name": "Ekwee David Ethuro",
        "slug": "ekwee-ethuro"
    },
    "content": " Nakubaliana nawe kwamba hakutarajia maanake ilikuwa haijaandikwa kwenye orodha ya shughuli za Seneti. Hata hivyo, yafaa uwe tayari kukamilisha kazi ya Kamati. Usiseme utatoa taarifa kwa mwenyekiti. Ukiwa upo tayari, itoe hiyo taarifa sasa hivi."
}