GET /api/v0.1/hansard/entries/671698/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 671698,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/671698/?format=api",
"text_counter": 208,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen.Orengo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 129,
"legal_name": "Aggrey James Orengo",
"slug": "james-orengo"
},
"content": "Bw. Spika, mimi niliishi Dar es Salaam kwa muda wa miaka mitatu. Niliishi huko nikiongea Kiswahili sanifu. Niliongea kwa Kiswahili na Wabunge. Wakati ule, Dar es Salaam hakuwa na mkuu wa serikali yeyote alikuwa akiongea kwa lugha ya Kiingereza. Kwa hivyo, wale wanafikiri kwamba wanajua Kiswahiki, hawajui Kiswahili."
}