GET /api/v0.1/hansard/entries/67269/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 67269,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/67269/?format=api",
    "text_counter": 228,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Ms. Leshoomo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 379,
        "legal_name": "Maison Leshoomo",
        "slug": "maison-leshoomo"
    },
    "content": "Bw. Spika, ningependa kumwambia Naibu wa Waziri Mkuu na Waziri wa Serikali za Wilaya kwamba wakati tunazungumzia mambo ya njaa, yasichangwe na mambo mengine kwa sababu watu wako na njaa. Mahali ninapotoka, watu wangu wanakosa chakula. Msafara wa Prime Minister haukutembelea wananchi kuangalia ni nani anastahili kupewa chakula ama ni nani hastahili."
}