GET /api/v0.1/hansard/entries/672947/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 672947,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/672947/?format=api",
    "text_counter": 463,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Hassan",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 431,
        "legal_name": "Hassan Omar Hassan Sarai",
        "slug": "hassan-omar-hassan-sarai"
    },
    "content": "Jambo la nidhamu, Bw. Spika wa Muda. Kesho umeitisha kikao maalum cha Seneti. Vile vile, Kamati nyingi zimetangaza mikutano kesho. Kwa hivyo, kesho kuna uwezekano wa kupata shida ya idadi ya kupitisha Miswada katika Seneti. Ningependa utoe amri kwamba vikao vyote vya Kamati vihairishwe mpaka tutakapomaliza kikao maalum cha Bunge. Nimepata jumbe kwenye simu kuhusu mikutano mbali mbali ya Kamati kesho. Karibu kila Kamati iko na kikao, ilhali tuko na kikao maalum cha Seneti."
}