GET /api/v0.1/hansard/entries/672964/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 672964,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/672964/?format=api",
    "text_counter": 480,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "July 13, 2016 SENATE DEBATES 34 Sen. Bule",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Asante Bw. Spika wa Muda. Jambo hili ni la ajabu na la kusikitisha sana. Ningependa kusema kwamba, jambo hili la kupoteza wananchi wetu kila wakati ni la ajabu. Serikali lazima iwajibike. Kama mwakilishi wa Kaunti ya Tana River, hili ni jambo la kawaida. Tumepoteza vijana takribani 30 wakiwemo wachungaji. Hatuwezi kulaumu Serikali ama Al-Shabab lakini ni mujibu wa Serikali kuajibika. Serikali lazima iwajibike na kutuarifu linalofanyika na anayehusika. Bw. Spika wa Muda, tunataka tuwe na mbinu mwafaka za kuhakikisha kwamba haya yamekoma. Asante."
}