GET /api/v0.1/hansard/entries/674138/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 674138,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/674138/?format=api",
    "text_counter": 382,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Bule",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 1029,
        "legal_name": "Ali Abdi Bule",
        "slug": "ali-abdi-bule"
    },
    "content": "Bw. Spika wa Muda, nimesema kwamba wako katika mahojiano makali ya Maseneta kuwahoji kuhusu uvujaji wa fedha za jamii na mambo yale yote waliyokuwa wakifanya. Ukweli wa mambo sasa uko mezani. Baada ya muda kidogo, wananchi watajua ukweli wa mambo uko wapi. Wale waliokuwa wakisema kwamba Maseneta wamefanya nini, wapelekwe nyumbani, nataka wanisikize. Wananchi wa The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate"
}