GET /api/v0.1/hansard/entries/674146/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 674146,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/674146/?format=api",
"text_counter": 390,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Seneti ambalo linaweza kurekebisha mambo ya kaunti na kufanya nchi yetu ya Kenya iwe nchi ya amani, ukweli, haki na maendeleo. Bw. Spika wa Muda, maendelo mashinani yakiharibika, hata nchi yetu itaharibika. Utawala mashinani ukiharibika, hata utawala nchini utaharibika. Jana, kulikuwa na tatizo sehemu ya Kipini. Sina nambari ya administrator yeyote. Nilikuwa naongea na County Commander na County Commissioner . Hawana pesa ya mafuta ya gari, hawana magari ilhali administrators wanatembea na magari. Wanatembea na gari ya kaunti kwa mchezo. Huko Kipini, wakati wa kiangazi ukifika, kuna shida kwa sababu thedelta ndiyo kila mfugaji na mkulima hukutana. Sasa, wakati hao administrators na machifu, - in fact, it is duplication ukiangalia kwa upande mwingine. Wote wako. Mtu anakupigia simu kwamba kuna shida fulani. Nilimpigia Kamanda wa Kaunti na county"
}