GET /api/v0.1/hansard/entries/674148/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 674148,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/674148/?format=api",
    "text_counter": 392,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "ili waende na wachukue wazee kama hakuna administrators ili wawaambie wazee warekebishe maneno. Ni kama hawa administrators wameandikwa kufanya kampeni ya gavana.Ile siku utawaona ni wakati gavana yuko na sherehe. Hapo ndipo wanapeleka sahani na hema. Ninaipongeza Serikali kuu kwa kuimarisha kazi ya machifu, DO na DC ambao walivumilia huku wakipiga moyo konde---"
}