GET /api/v0.1/hansard/entries/674273/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 674273,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/674273/?format=api",
    "text_counter": 76,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Wangari",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13123,
        "legal_name": "Martha Wangari",
        "slug": "martha-wangari"
    },
    "content": "Asante sana, Bw. Spika. Ninachukua fursa hii pia kuwakaribisha wanafunzi hawa. Nilipata motisha ya kuwa Mbunge wakati nilitembelea Bunge nilipokuwa katika shule ya msingi. Wanafunzi hawa pia wanaweza kukalia viti tunavyokalia leo. Wasichana na wavulana wote wana huo uwezo. Ninawakaribisha katika Bunge la Seneti nikiwahimiza waige yale mazuri watakayoona hapa. Yale mabaya wayaache yatokomee papa hapa."
}