GET /api/v0.1/hansard/entries/675001/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 675001,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/675001/?format=api",
"text_counter": 112,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Mwadime",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 2451,
"legal_name": "Andrew Mwadime",
"slug": "andrew-mwadime"
},
"content": "wa vijiji hutumiwa na Serikali wakati inataka kufikia malengo yao kule mashinani. Wakati viongozi wote hapa Bungeni wanatafuta kura, huwatumia wazee kupiga firimbi hapa na pale, ili waonane na wananchi. Watu wamekuwa wakiongea kuhusu suala la wazee kwa muda mrefu lakini halijatekelezwa. Baada ya huu mjadala kuisha, naomba ile Kamati ya Utekelezi iende mbio, na Hoja hii iwe sheria kwa haraka iwezekanavyo."
}