GET /api/v0.1/hansard/entries/675007/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 675007,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/675007/?format=api",
"text_counter": 118,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Chea",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 1694,
"legal_name": "Mwinga Gunga Chea",
"slug": "mwinga-gunga-chea"
},
"content": "Asante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda, kwa kunipa fursa hii ya kwanza kuunga mkono Hoja hii. Kwanza, ningependa kutoa shukrani zangu za dhati kwa Mhe. Injendi kwa kufikiria na kuleta dhana hii ambayo bila shaka itaenda mbali katika kuona maisha ya wale wazee wetu wa vijiji yameimarika kule nyanjani."
}