GET /api/v0.1/hansard/entries/675046/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 675046,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/675046/?format=api",
    "text_counter": 157,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Murungi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 2802,
        "legal_name": "Kathuri Murungi",
        "slug": "kathuri-murungi"
    },
    "content": "Ahsante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda. Naomba kuchangia Hoja hii na kuzungumza kwa lugha ambayo wazee wetu pale kijijini wataielewa kwa sababu wengi wao wanasikiliza redio na wengine wanatutazama kwenye runinga zao. Ningependa kusema kwamba viongozi wa vijijini ni watu muhimu sana katika uongozi wa nchi hii. Nawachukulia kama manaibu wa machifu kwa sababu chochote kinachotendeka kijijini huwafikia wao kwanza na wao ndio hupeleka habari kwa naibu wa chifu na chifu. Nao hupeleka ujumbe huo kwa naibu kamishna wa kaunti. Wazee hao wameumia kwa miaka mingi The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}