GET /api/v0.1/hansard/entries/675057/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 675057,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/675057/?format=api",
    "text_counter": 168,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Mwanyoha",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 2308,
        "legal_name": "Hassan Mohamed Mwanyoha",
        "slug": "hassan-mohamed-mwanyoha"
    },
    "content": "Ahsante sana Mhe. Naibu Spika wa Muda. Kabla sijaendelea, ningependa kuwafahamisha kwamba sisi ndio tunatengeneza Bajeti, na sisi tuko katika Serikali ya kitaifa. Ni jambo la kusitikisha kwamba walio katika serikali za majimbo, wanaweza kuangalia watu wao huko ilhali ni sisi ndio tunaowagawanyia pesa. Sisi tunaowagawanyia pesa watu wetu ambao wako katika Serikali ya kitaifa, ambao ni wazee wa vijiji, wanapata matatizo na shida nyingi mno. Hili ni jambo ambalo sisi wenyewe tungeliangazia kwanza kabla hatujaangalia serikali za majimbo. Ukweli ni kwamba wazee wa vijiji wanaojulikana kama"
}