GET /api/v0.1/hansard/entries/675060/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 675060,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/675060/?format=api",
    "text_counter": 171,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Mwanyoha",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 2308,
        "legal_name": "Hassan Mohamed Mwanyoha",
        "slug": "hassan-mohamed-mwanyoha"
    },
    "content": "Ninakumbuka Mhe. Mwadime hapa akisema kwamba yeyote atakayekataa Hoja hii achukuliwe hatua. Watu wamecheka na kuona kwamba labda anazungumza utani. Mimi ninarudia kwamba yeyote ambaye hataki kuunga mkono Hoja hii ni adui wa maendeleo na ukweli anastahili kuchukuliwa hatua ya kufaa. Mwaura awe mfano mzuri wa kuchukuliwa hatua hiyo. Kwa hayo machache ninataka kukushukuru kwa kunipatia wakati huu japo wengine waliokuja nyuma wamepewa mapema kuliko mimi. Asante."
}