GET /api/v0.1/hansard/entries/675217/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 675217,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/675217/?format=api",
"text_counter": 118,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Onyonka",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 128,
"legal_name": "Richard Momoima Onyonka",
"slug": "richard-onyonka"
},
"content": "Wale ambao wanazungumzia hili jambo kutoka nje wataleta hoja zao hapa ndani wapatie Kamati hii ndio tuzungumzie. Tukiamua wakati huu tukubaliane na Hoja ambao ndugu yetu Chepkongāa ameleta, ile kamati iko pale nje haina kazi ya kufanya. Ni lazima kuwe na uelewano kwa sababu wakati huu Wakenya wanataka tukubaliane tuache mizozo."
}