GET /api/v0.1/hansard/entries/675443/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 675443,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/675443/?format=api",
"text_counter": 344,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Nassir",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 2433,
"legal_name": "Abdulswamad Sheriff Nassir",
"slug": "abdulswamad-sheriff-nassir"
},
"content": "Asante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda. Hili ni jambo la kusikitisha. Tunaishi katika nchi ambayo kwa miaka tisa, shule 350 zimeteketezwa. Kama wenzetu walivyotangulia kusema, asilimia 99 ya shule hizi zote ni za umma. Itierio Boys High School ilichomwa kwa sababu vijana walikatazwa kuangalia mechi ya Euro 2016. Kukatazwa kwao kuangalia mechi hiyo ni dalili tosha kuwa walimu walikuwa wanawapatia ruhusa ya kujivinjari wakati ambao wanafunzi wanafaa kuwa shuleni. Wataalamu katika sekta ya elimu wanasema kuwa baadhi ya shida tulizonazo ni wanafunzi wana hofu na taharuki kufanya mitihani. Pili, hatuna njiia mwafaka ya kupeana nasaha kwa wanafunzi hawa kwa sababu walimu---"
}