GET /api/v0.1/hansard/entries/675636/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 675636,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/675636/?format=api",
    "text_counter": 159,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Mwadeghu",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 98,
        "legal_name": "Thomas Ludindi Mwadeghu",
        "slug": "thomas-mwadeghu"
    },
    "content": "Asante sana, Mhe. Spika. Naomba kuunga mkono Kamati hii ya Haki na Sheria ambayo kusema ukweli ilikuwa hapo awali, lakini kwa sababu moja au nyingine ikabidi wanakamati wa CORD watolewa kwa muda. Tuliyaweka na kuyachukulia maanani maamuzi yako. Wakati mwingine lazima tupewe mwelekeo. Tumekubali hawa wanakamati wajiunge na wenzao wa upande ule mwingine ili wapate kutimiza majukumu yao."
}