GET /api/v0.1/hansard/entries/675883/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 675883,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/675883/?format=api",
"text_counter": 406,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Ms.) Machira",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 769,
"legal_name": "Jane Agnes Wanjira Machira",
"slug": "jane-agnes-wanjira-machira"
},
"content": "Asante, Mhe. Spika wa Muda, kwa kunipatia nafasi hii ambayo nimefurahia. Tutapata likizo leo ya kwenda nyumbani kwetu. Ninashukuru kwa kazi ambayo Bunge limefanya kwa sababu tumepata Kamati ambayo itaangalia mambo ya IEBC ambayo imekuwa ni shida zaidi katika nchi yetu."
}