GET /api/v0.1/hansard/entries/675884/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 675884,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/675884/?format=api",
    "text_counter": 407,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Machira",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 769,
        "legal_name": "Jane Agnes Wanjira Machira",
        "slug": "jane-agnes-wanjira-machira"
    },
    "content": "Ninasema imeleta shida kwa sababu tumepoteza mali kwenye vurugu ambazo zimekuwepo. Pia, tumepoteza maisha. Ile Kamati itawajibika kumaliza vurugu na tuko na imani kwamba tutapata suluhisho la kudumu na hakutakuwa vurugu na maandamano ambayo hata wazee wanashiriki na kutembea mitaani. Hili litakuwa jambo la maana katika Kenya yetu na tunashukuru zaidi. Tunajua kwamba ripoti hii itakapoletwa hapa Bungeni, itajadiliwa vilivyo. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}