GET /api/v0.1/hansard/entries/676646/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 676646,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/676646/?format=api",
    "text_counter": 112,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Nakara",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 2926,
        "legal_name": "John Lodepe Nakara",
        "slug": "john-lodepe-nakara"
    },
    "content": "Mhe. Spika, nashukuru kwa kunipatia nafasi ya kuchangia Mswada huu ambao umechukua muda. Hata hivyo, tungependa kulishukuru Bunge la Seneti kwa kuuleta kwa wakati unaofaa. Nazishukuru bunge za kaunti kwa sababu miaka hii matatu zimekuwa zikifanya kazi bila mwongozo wala mwelekeo. Wamejaribu sana. Hatungependa kuwalaumu sana kwa sababu walianza juzi juzi. Hatuwezi kuzilingalisha bunge za kaunti na Bunge la Kitaifa maana The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}