GET /api/v0.1/hansard/entries/676648/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 676648,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/676648/?format=api",
    "text_counter": 114,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Nakara",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 2926,
        "legal_name": "John Lodepe Nakara",
        "slug": "john-lodepe-nakara"
    },
    "content": "Mambo ambayo yanatumika kuwateuwa watu lazima pia yawekwe hadharani. Kwa mfano, kama wateuliwa ni wengi, ni kitu gani kilichowafanya wateuliwe? Lazima waseme ili mtu yeyote akiwa na pingamizi aonyeshe kwamba mtu huyo alikuwa na uwezo kuwashinda wengine. Mtu anaweza kuwashinda wenzake kikatiba kama vile kutumia kitengo cha jinsia hata kama hana kisomo cha juu. Kwa hivyo, ningependa jambo hilo lisaidie katika mwongozo wa kuwachagua wafanyikazi."
}