GET /api/v0.1/hansard/entries/676650/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 676650,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/676650/?format=api",
"text_counter": 116,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Nakara",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 2926,
"legal_name": "John Lodepe Nakara",
"slug": "john-lodepe-nakara"
},
"content": "hajapata ripoti. Utapata mtu ameteuliwa lakini yule mwingine hajaambiwa kwamba hakufaulu katika mchujo. Ni vizuri pia kwa wale ambao hawakubahatika kuteuliwa waambiwe sababu ambazo ziliwafanya wasiteuliwe na kamati ya bunge la kaunti."
}