GET /api/v0.1/hansard/entries/677023/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 677023,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/677023/?format=api",
    "text_counter": 267,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Mwadengu",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 98,
        "legal_name": "Thomas Ludindi Mwadeghu",
        "slug": "thomas-mwadeghu"
    },
    "content": "Nashukuru, Mhe. Naibu Spika wa Muda kwa nafasi hii nami nitoe mchango wangu kwa Mswada huu unaotoa mwongozo wa matumizi ya fedha za umma. Ijapokuwa umeshatoa uamuzi kuwa si muhimu tuwe na Ripoti ya Kamati ili kujadili Mswada huu, naomba nitoe mapendekezo kuwa lingekuwa jambo la busara sana kama Ripoti ya Kamati ingekuwa imejadiliwa Bungeni ili Wabunge wapate mwongozo na mwelekeo wa kuchangia kwa undani Mswada huu."
}