GET /api/v0.1/hansard/entries/677026/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 677026,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/677026/?format=api",
"text_counter": 270,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Mwadengu",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 98,
"legal_name": "Thomas Ludindi Mwadeghu",
"slug": "thomas-mwadeghu"
},
"content": "Mhe. Naibu Spika wa Muda, nikikumbuka mwaka jana katika zoezi hili la Mwongozo wa Sheria za Matumizi ya Serikali, tuligeuza na kusema kuwa Wizara ya Fedha ina idhini ya kutumia pesa kulipia ada ya mikopo yote kutoka nje. Ilipokuja mambo ya ‘Euro Bond’, hawa mabwana walihakikisha kuwa zile fedha zilipoingia, badala ya kuleta hapa Bungeni vile zilivyo, The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}