GET /api/v0.1/hansard/entries/677029/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 677029,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/677029/?format=api",
"text_counter": 273,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Mwadengu",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 98,
"legal_name": "Thomas Ludindi Mwadeghu",
"slug": "thomas-mwadeghu"
},
"content": "Nikimalizia, ningependa sheria hizi zigeuzwe ili tuhakikishe usawa na haki. Kuna ndeni ambalo litawachwa na magavana wakati huu, kwa sababu katika makadirio yao, wanaweza kutoa kandarasi lakini hawatailipia. Wataipeleka mbele kwa makadirio ya mwaka ujao. Kwa hivyo, kila wakati kuna deni na hili deni linaendelea kukua. Hii nchi itajikuta iko katika matatizo na imejitia kitanzi. Ndiyo maana naunga mkono Mswada huu."
}