GET /api/v0.1/hansard/entries/677409/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 677409,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/677409/?format=api",
"text_counter": 11,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "pamoja na ofisi yako kwa kuwawezesha wanafunzi wengi kutoka sehemu mbalimbali za nchi yetu kufika hapa na kujifunza jinsi tunavyofanya kazi katika Bunge letu. Ukitaka kujua ya kwamba shule hii ni hadhi ya juu, wao hawana walimu bali wana wahadhiri. Yangu ni kuwakaribisha katika Bunge hili na kuwatia shime kuwa wanaweza kuwa chochote wanachotaka katika maisha bora watie bidii katika masomo yao. Kama Mbunge ambaye alifika hapa akiwa mchanga---"
}