GET /api/v0.1/hansard/entries/677411/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 677411,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/677411/?format=api",
"text_counter": 13,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Wangari",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13123,
"legal_name": "Martha Wangari",
"slug": "martha-wangari"
},
"content": "Asante, Bw. Spika. Ni lugha ya Kiingereza ni lecturers . Ukiwatanguliza kwetu ulisema ni kikundi cha wanafunzi na wahadhiri. Hii ni shule ya hadhi ya juu au kiwango cha kipekee. Tunawakaribisha hapa na mkirudi nyumbani msalimie watu wote. Ninawasihi mchukue mienendo mizuri ambayo sisi tunafanya tukiwa hapa katika Bunge hili. Tafadhali yale mabaya yabaki hapa."
}