GET /api/v0.1/hansard/entries/677425/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 677425,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/677425/?format=api",
"text_counter": 27,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Njoroge",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13158,
"legal_name": "Ben Njoroge",
"slug": "ben-njoroge"
},
"content": "Asante sana, Bw. Spika. Nachukua fursa hii kuwapongeza na pia kuwatakia heri njema. Naipenda sana Kaunti ya Bungoma kwa sababu niko na marafiki wengi sana katika eneo hilo. Rafiki wangu wa kwanza ni Seneta wenu ambaye ni kiongozi wa wachache katika Bunge hili. Niko pia na marafiki wengine ambao wametoka upande huo kama vile mhe. Jirongo na mhe. Ababu. Kwa hivyo mkirudi nyumbani nawatuma msalimie wazazi wenu na mjiepushe kuiga tabia mbaya ya wenzenu ambao wanachoma shule zao. Nawaomba muige mfano mzuri."
}