GET /api/v0.1/hansard/entries/677949/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 677949,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/677949/?format=api",
"text_counter": 162,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Wacha niwapatie mwongozo ama mwelekeo. Naibu Mwenyekiti pia hayuko tayari kusoma taarifa hiyo kwa sababu akijibu kama hajaelewa, mtamwambia tena hajajibu. Ningekuwa nimesema kwamba atasoma taarifa hiyo kesho lakini anasema hatakuweko. Kwa hivyo, tutarudia taarifa hiyo baada ya “(f).”"
}