GET /api/v0.1/hansard/entries/678238/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 678238,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/678238/?format=api",
    "text_counter": 50,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Boy Juma Boy",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 758,
        "legal_name": "Boy Juma Boy",
        "slug": "boy-juma-boy"
    },
    "content": "Sasa, Bw. Spika leo imefika na jibu hakuna. Ina maana aliyedharauliwa ni Spika ama ni Bunge? Kwa fikira yangu, kuna nyoka anayeuma halafu kuna nyoka wa plastiki. Agutusha tu lakini haumi. Sijui kama hawa wenzetu wanatufanya sisi, Bunge la Seneti, kuwa nyoka wa plastiki ambaye haumi. Naungana na Sen. Sang kwamba itabidi nyoka aume sasa; asiwe nyoka wa plastiki."
}