GET /api/v0.1/hansard/entries/678587/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 678587,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/678587/?format=api",
"text_counter": 21,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Boy Juma Boy",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 758,
"legal_name": "Boy Juma Boy",
"slug": "boy-juma-boy"
},
"content": "Bw. Naibu Spika, Kamati inayohusika na swala la maji na ardhi ni Kamati ya Ardhi na Mazingira. Mimi ni mwanachama wa Kamati hii na nitalishughulikia swala hili na kuleta jibu kwa muda wa wiki moja."
}